• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miipangofiji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwaimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fulsa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUNDUMA YAPATA HATI INAYORIDHISHA

Imewekwa : April 10th, 2018

Mkurugenzi wa Halmashauriya Mji wa Tunduma, Kastori Msigala, amewahimiza watumishi wa Halmashauri hiyokuendelea kuchapa kazi baada ya kupokea hati inayoridhisha iliyotokana nataarifa ya ukaguzi uliofanywa na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu zaSerikali (CAG).

Mkurugenzi alitoakauli hiyo leo hii alipoongea na wafanyakazi wa Halmashauri yake baada yakupokea ripoti ya CAG iliyobainisha kwamba Halmashauri ya Mji wa Tunduma nimiongoni mwa Halmashauri nchini zilizopata hati inayoridhisha.

“Tunatakiwa kufanyakazi kwa weledi na ari zaidi ili tuendelee kupata hati safi,” alisema Bw.Msigala, na kuongeza kwamba hati hii ni tija kwa wafanyakazi pamoja na wananchiwa Tunduma kwani inadhihirisha pesa zinazokusanywa zinatumika vema.

Mkurugenzi ameendeleakusisitiza kwamba atahakikisha anaendelea kusimamia matumizi mazuri ya fedha zaSerikali, kwani ndiyo njia sahihi ya kuhakikisha kwamba fedha za mlipa kodizinatumika kwa ajili ya shughuli za maendeleo, na si kutumika bila kuwa namaelezo sahihi.

“Nitaendelea na msimamowangu wa kutopitisha malipo yoyote kama hayajakaguliwa na Mkaguzi wa Ndani waHesabu za Serikali wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma,” amesisitiza Bw. Msigala.

Halmashauri ya Mjiwa Tunduma imepata hati inayoridhisha baada ya taarifa ya ukaguzi wa hesabuzake za mwaka wa fedha 2016/2017 iliyokabidhiwa kwa Rais Dkt John PombeMagufuli mwishoni mwa mwezi wa tatu, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Hati hiyo imetolewabaada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Asaadkuridhika na hesabu za mapato na matumizi ya miradi mbalimbali ya Halmashaurihiyo.

Kupata Ripori hiyo bonyeza hapa LOCAL-GOVERNMENT-AUTHORITIES-GENERAL-REPORT_2.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA TUNDUMA May 03, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA July 25, 2021
  • KUITWA KAZINI June 25, 2021
  • KUFUNGULIWA KWA HOSPITALI YA MJI TUNDUMA July 23, 2021
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • TUNDUMA YATOA TUZO ZENYE THAMANI YA MILIONI THELATHINI NA NNE KATIKA KILELE CHA JUMA LA ELIMU

    May 07, 2022
  • JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA KUANZA KAZI JULAI

    April 13, 2022
  • TUNDUMA YAPOKEA MILIONI MIA NNE TOKA SERIKALI KUU UJENZI WA HOSTELI NA MGAHAWA

    April 04, 2022
  • UJENZI NYUMBA YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

    March 29, 2022
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa