Imewekwa : May 20th, 2020
Wafanyabiashara wametakiwa kuendelea na shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma ambao uko katika Mpaka wa Tanzania na Zambia ikiwa tayari Nchi ya Zambia imefunga Mpaka wak...
Imewekwa : April 2nd, 2020
Mkurugenzi wa mji wa Tunduma Bi. Regina Bieda akigawa mabati Bandle 262 yaliyo gharimu pesa za kitanzania 78,047,732.15 ambayo yanakwenda kupaua vyumba 63 vya madarasa ndani ya Mji wa Tunduma
...
Imewekwa : March 27th, 2020
HAKUNA WANYONYA DAMU TUNDUMA - DC Irando
Mkuu wa Wilaya ya Momba NDUGU JUMA Saidi Irando ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa Hadhara wa Kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Halmashauri ...