Hatua za kufuata ili kupata kibali cha Matangazo
1. Fika Ofisi ya utamaduni Halmashauri ya Mji wa Tunduma upate maelekezo ya kiasi cha fedha ya matangazo utakayolipia kulingana na idadi ya siku utakazotangaza
2.Kila tangazo lina gharama zake hivyo nivema ukafuata maelekezo ofisi ya Utamaduni
2. Utakatiwa risiti ya EFD ( Kielektroniki) kutoka kwa Afisa Utamaduni baada ya kulipia
3. Utajaziwa fomu ya kibali cha kufanya matangazo na Afisa Utamaduni
NB: Kutangaza bila kibali ni kosa hivyo Ukikamatwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa juu yako
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957389
Simu ya Mkononi: +255 754 549 511
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa